Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu tufanyeje? Je turudi kwenye Azimio la Arusha?
Azimio la Arusha lilishindwa. Hakuna la kufanya. Lazima kutakuwa na matabaka. Tunaloweza kufanya ni kuhakikisha kuwa hata hawa wa chini wanapata mahitaji yao ya msingi. Tuwape elimu bora hata katika shule zao za kata. Wakiumwa watibiwe. Wawe na chakula na nyumba zenye hadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…