Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Take a wild guess walahi
[emoji16][emoji16][emoji16]. Tukiendelea kujibishana hapa nitasema kitu halafu utaishia kunitia kwenye iginoa listi tu unisahau huko. Nasema sitaki money loves me walahi.

Have a good day [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Hahahaha
Kwa kweli mimi na wewe hatuivi kwenye chungu kimoja walahi
Mawazo yetu ni tofauti sawa na mbingu na nchi walahi!
Hakika na mimi nikisema nitapigwa ban la maisha walahi
Asante sana walahi
 
Hahahaha
Kwa kweli mimi na wewe hatuivi kwenye chungu kimoja walahi
Mawazo yetu ni tofauti sawa na mbingu na nchi walahi!
Hakika na mimi nikisema nitapigwa ban la maisha walahi
Asante sana walahi
Mimi na wewe hatuivi chungu kimoja? Tangu lini? I call you sis; and I regard you as a possible business partner in the future. Hizi ni habari mpya kwangu. Anyway yote ni sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
SABABU KUMI KWANINI UNATAKIWA UANZE KUPENDA KUIMBA

1.Hurudisha furaha yako na kuondoa uchovu! Pia hukufanya ujihisi unaamani sana.

2.Hupunguza Uwezekano wa kupata Shinikizo la damu.

3.Huongeza hali ya kujiamini. Utafiti unaonesha kuwa, asilimia 64 ya watu wanaopenda kuimba hujiamini pia katika mazingira ya kawaida.





4.Hukusaidia kupunguza uzito hasa ukiimba na kucheza
 
Wenye sauti mbaya tufanyeje?
 
Mimi na wewe hatuivi chungu kimoja? Tangu lini? I call you sis; and I regard you as a possible business partner in the future. Hizi ni habari mpya kwangu. Anyway yote ni sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…