Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi na wewe hatuivi chungu kimoja? Tangu lini? I call you sis; and I regard you as a possible business partner in the future. Hizi ni habari mpya kwangu. Anyway yote ni sawa tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wewe, hakuna mtu ambaye napambana naye kama lawyer wangu, lakini ni best friend wangu walahi
Kusema ukweli ni genius, lakini ana vi elements vya kimfumo dume, hapo ndio tunapopambana kweli kweli, na sio yeye tu mpaka na partner zangu same thing walahi!
Lakini tunaheshimiana kweli kweli walahi!
Wanajua nguvu ya mambo yao ya maendeleo inatoka wapi walahi!
MZINGA WA NYUKI MALKIA LAZIMA AWEPO WALAHI!
 
😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…