Yap! Halafu limtu linatoka huko limekogeshwa mapovu jukwaa la siasa linakuja hapa na kuanza kutukana eti huu uzi wa kijinga !!!
Mabaya hayana afyaParachichi zuri hivyo uweke kichwani.Maparachichi mabaya ndio mazuri kwa nywele [emoji2][emoji2][emoji2]
Kweli mkuu,salama mkuu....
ukisha kuwa hai salama ndo hiyo..
😀😀😀Halafu utasikia wamenasa humo mapangoni wazamiaji wa kimataifa wanatafutwa kwenda kuwaopoa [emoji16][emoji16][emoji16]
nasubiri hiyo tag...
inaweza kuwa ni kitu nzuri kwako ....si kwangu ...ngoja tuone!
Kwa nywele ndiyo yenyewe.Mabaya hayana afya
Farkhina habari yakoKwa kizuri kwangu unasubiria nini? Just forget about it.
Kama uko Bongo, leo umelala masaa mangapi? Sema ukweli [emoji16][emoji16][emoji16]
sawasawa mkuu..Nimeamka salama kabisa. Natumaini hata huko siku inaendelea vyema. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]