Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mikate hii jamani haijafika Bongo?
Unaweza kuona rangii ya taya zao.?Yupi ana rangi ya taya nzuri hapo bro? [emoji16][emoji16][emoji16]
Magereza ya Marekani siyo kama ya Mexico kwa akina El Chapo na Pablo Escobar. Kwa historia yake si ajabu wakamtupa kwenye Maximum Security prison. Huko ni 23 hrs ndani kwenye kichumba kidoooogo. Isitoshe nadhani mwaka jana/juzi? alifile for bankruptcy. Pesa alishamaliza
DuhMikate hii jamani haijafika Bongo? View attachment 886829
Democratic mi nawaitaga CHADEMA ya Marekani. Kulia lia tu lakini hakuna strategy wala mikakati ya maana. Kwa ujinga waliofanya kutokumchukulia Trump siriazi mpaka akashinda, wanastahili kila teke linalowajia....Republicans wamekomaa na ripoti yao fake ya FBI iliyotoka leo, huyo mtu wao lazima atapita tu. Democratic kama kawaida yao, wameshaanza kulia lia! [emoji6][emoji6]
Democratic mi nawaitaga CHADEMA ya Marekani. Kulia lia tu lakini hakuna strategy wala mikakati ya maana. Kwa ujinga waliofanya kutokumchukulia huyu kichaa siriazi mpaka akashinda, wanastahili kila teke linalowajia....
Kweli...Democratic mi nawaitaga CHADEMA ya Marekani. Kulia lia tu lakini hakuna strategy wala mikakati ya maana. Kwa ujinga waliofanya kutokumchukulia Trump siriazi mpaka akashinda, wanastahili kila teke linalowajia....