Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lugha unayotumia kwa wateja wako ni suala jingine unalopaswa kulitazama kwa umakini mkubwa. wapo watu wakianzisha biashara wanakuwa miungu-watu. Hawawajali wateja ambao wanakwenda na fedha zao walizozitafuta kwa uchungu, wao wanaendekeza maringo na majivuno badala ya kumchangamkia mteja.
Mteja anauliza kama anaweza kupata kitu fulani lakini anajibiwa kama vile ni adui, tena ni suala linalojirudia. Huku kama si kuiangamiza biashara yako basi ni kupendekeza wateja wasiwe na hamu ya kukuona.