Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Hana kabisa hela huyo! Alikamatwa anakwiba kamera ya mtu kipindi fulani hivi! Haya maisha haya, acha kabisa aisee!
 
Republicans wamekomaa na ripoti yao fake ya FBI iliyotoka leo, huyo mtu wao lazima atapita tu. Democratic kama kawaida yao, wameshaanza kulia lia! [emoji6][emoji6]
Democratic mi nawaitaga CHADEMA ya Marekani. Kulia lia tu lakini hakuna strategy wala mikakati ya maana. Kwa ujinga waliofanya kutokumchukulia Trump siriazi mpaka akashinda, wanastahili kila teke linalowajia....
 
Democratic mi nawaitaga CHADEMA ya Marekani. Kulia lia tu lakini hakuna strategy wala mikakati ya maana. Kwa ujinga waliofanya kutokumchukulia huyu kichaa siriazi mpaka akashinda, wanastahili kila teke linalowajia....

Yaani ovyo kabisa. Kuna kipindi walikuwa ni majority kwenye Congress na Senate, halafu wakiwa na mtu wao White House; Obama! Guess what they did, nothing! Wakaishia kuwa wanampinga tena Obama, bure kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…