Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nammanya huyu jamaa aisee aibu sana
 
Natamani siku moja mkutane nae nami niwepo pasipo kujua kuwa ndiye uniq, hiyo shikamoo ya unyenyekevu mtakayo itoa mtanifanya niwafukuze kwa bakora za matakoni hadi kwa vivulana vyenu.
Hatupumui!!! Shwaini zenu....
Mkuu habari yako za masiku tele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye shwaini sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…