Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


[emoji3] [emoji3] [emoji3] ujumbe umewafikia
 

Umeua..wapi profesa
 

Mimi siyo Mhaya mkuu. Wahaya bila shaka watakutafsria (kwa usahihi zaidi). Kaisiki msaada wako unahitajika huku please...

Kwa kukisia tu; na kwa vile Kihaya ni lugha ya Kibantu, mzizi wa hilo neno ni mahanga yaani mataifa, mtu wa nje, wa kabila jingine...

Mnyamahanga nadhani hao watani wangu Wahaya walikuwa wanamsema Frank kuwa siyo mwenzao, ni mtu wa nje, wa kabila jingine. Neno hilo bila shaka lina connotations mbaya kuwa huyo Mnyamahanga pengine ni mtu duni, asiye msomi kama sisi n.k. Watani zangu hao wana kaubaguzi baguzi hivi na kujiona sana kuwa wao wamesoma sana (jambo ambalo ni kweli) na hivyo ni bora kuliko wanyamahanga....

Nadhani neno hili Mnyamahanga lina connotations mbaya sawa na chasaka kwa Wachaga.

Kama nimekosea samahani...This is just my wild guess...
 
Swadaktaa,
Kuna jamaa wapo Kinondoni Dar, walikua hawaishi kutaja neno dhaifu, dhaifu kwa miaka takribani 10. hivi sasa wanatamani huyo dhaifu arudi angalau aongoze mwezi mmoja...[emoji3]
Mkwere

Dhaifu

Vasco Da Gama

Mpole

Mtu wa kuchekacheka

Nchi imemshinda

Tunataka ajaye awe mkali

Nchi haitawaliki mpaka aje dikteta

Fisadi...

...Hujafa hujaumbika...Be careful what you wish for [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…