Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kosa lake la kulazimisha Cosmological Constant katika nadharia yake ya General Relativity lilimgharimu na kumuumiza sana kwa sababu alikuwa hapendi kushindwa wala kukosea. Baadaye uzeeni alikiri kuwa hakuwa sahihi na kwamba kufanya makosa ni lazima kama unafanya kitu chenye maana hapa duniani. Cha muhimu tu ukijua kuwa hili ni kosa basi unakiri, unajifunza kutoka kwalo na kusonga mbele !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…