mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu hata nikitimba dar Jd ,VAT 69 ndio mpango
Siamini matokeo ya mwisho aiseeHatari sana tena ndani ya OT
umejipost nnaona [emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ajabu mashabiki wa man u badala ya kufurahi wamenuna
Nakafananisha haka na wewe wakati ulipokuwa mtoto. Umekaa kisharishari tu japo siku hizi kusema kweli unajitahidi sana. You choose your battles very carefully. Umekua tena in fronto ofu awa aizi. Kongaratyuleisheni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huyu akiruhusu kunguni wakaja ataisoma namba [emoji16][emoji16][emoji16]