Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532351852513.jpg
 
10.Unastahili kuwa na afya bora.

kwa nini uteseke kwa kwa sababu tu ya vitu vinavyovutia macho , chips zinavutia sana , nyama za kuchoma, pombe, sigara, na vyakula vingi vya kukaanga. unaweza kula lakini ule kwa adabu , sio kwa fujo. wenye afya wana uchaguzi. chagua vyakula vyenye akili hata kama una hela nyingi kula vyakula vyenye akili vipo . isile mradi unakula.
 
11.Kila asubuhi panga miango yako ya siku.

Kila siku ikiwa unapanga mipango yako na kuhakikisha unafanya yote, ingawa kuna ambayo hutafanikisha lakini kwa sehemu kubwa utafanya. utaona mafanikio yako na kutimiza ndoto yako.
 
12.Uwe mwoga.

Utapataje kitu bila msukumo , kitu kinachoonekana ni kigumu na hakina hata njia ya kufanya kinaogopesha, lakini kinakufanya uondoke katika kiti chako na kukifanya kwa sababu ya kuogopa kupoteza. na kwa kuwa unatafuta kufanikiwa lazima ule woga utakufanya uondoke.
 
NI WAZO TU

Wewe ni Msomi mwenye Digrii,na Ulipata GPA 4.6 ukiwa unajua GPA ni dili lakini ulizunguka 2YEARS bila kazi mpaka ulipodaka Kibarua hiki cha Benki ukiwa kama LOAN OFFICER,na wakakupa Mshahara wao wa 750,000 Kwa Mwezi...Baada ya Mwaka Mmoja ukajihisi UNA HADHI huna haja ya kurukia Daladala kama wengine,ukajibandika KAMKOPO KA PASSO ambako unakatwa LAKI4 Kila Mwezi na unabakiza 350,000 inayoenda Mfukoni kila Muamala Ukisoma...
Pale Chini ya Ghorofa la Ofisi unakofanya kazi yuko Kijana,Mchafu Mchafu,ANAOSHA MAGARI,na kila "MABOSI" mkifika wote mnamuachia Funguo za Magari yenu ya Mikopo Awaoshee...Mtaji wake ni KOPO LA FUNGUO,SABUNI,na MAJI anayochota kwenye Kimtaro karibu tu na mnakopaki gari zenu..
KWA SIKU anaosha MAGARI 30,ya Mabosi Nyinyi kwa Shilingi 3000 kwa Kila Gari...Anakula Wali Maharage Kibandani kwa Sh 800 tu wakati WEWE na "HADHI YAKO" unaenda kula YMCA Canteen,IFM Restaurant au KFC,ili Kulinda Hadhi ambayo Actually HUNA!
Mshahara ukitoka,wewe una 350,000 Mfukoni,ila Kijana huyu Mchafu Mchafu anayekula kwa Mahesabu,ambaye sometimes kwa kuona ANA HALI NGUMU huwa unamuachia hata CHENJI imsaidie,Anatengeneza Sh 3000x Magari 30 x Siku 30 =2,700,000(Milioni Mbili na Laki Saba Kwa Mwezi,NON TAXABLE!
Tai Kubwa,Viatu Vimeenda Upande,Mkopo wa Gari,HELA HAITOSHI,ila TITLE KUBWAAAA Ofisini unazunguka kwenye Kiti,Kila Siku una STRESS na unashangaa huyu kijana ANASMILE KILA SAA na Kukusalimu "Shkamoo Bosi" na unajiuliza Huyu Maskini Mbona Ana Raha Kila Siku na Mimi Majanga??
NANI MASKINI KATI YENU???
NANI BOSI WA KWELI???
Wake Up Brother/Sister,Find a Plan B for Your Life,Huwezi Kuwa Mjinga Milele na Ukaamua Kutulia tu...Unalipwa Laki 4 TANzania Hii,HUJALA,HUJALIPA KODI,HUJANUNUA UMEME,HUJAHONGA,HUJAZUNGUSHA RAUNDI ZA BIA,na HUNA KIPATO KINGINE ZAIDI YA AJIRA lakini Unahisi UKO SAWA TU,Nenda kapimwe Utaahira!
Dear Loan Officer,You need Another Loan to Buy BRAINS!

NIMEIKUTA MAHALI,,, INAFUNDISHO NDANI YAKE.
 
CHAKULA NA DAWA.

Ilikuwa vigumu kufikiria muda nguvu utulivu na pesa ambayo nilitumia kutafuta uponyaji na afya njema na amani .ilikuweka afya yangu vizuri kila wakati nilijaribu kitu kipya cha kunisaidia kiafya ,mara mazoezi na jinsi kuwa vizuri ,nilichanganyikiwa katika kuchunguza namna ya ulaji mbalimbali na namna tofauti tofauti.

NILIKUWA NA MATUMAINI NA KUPATA KITABU KIMOJA CHA KUNISAIDIA AU UTARATIBU WOWOTE AMBAO UNGENISAIDIA BILA YA KUHARIBU MAISHA YANGU



Hii ni baada ya kugundua kitu gani kinafanya kazi vizuri. watu wengi pia wamekuwa wakikumbana na matatizo kama yangu ya kutafuta afya na kuishi kwa na afya njema.

kwa nini kuna kuwa na watu au makundi mengi yanahangaikia kutafuta maamuzi na kutafuta majibu ,pia watu wa wa bidhaa za afya pia nao kwa nini wapo kwetu ? ni kwa sababu wengi wetu tu wagonjwa , tumechoka,na tuna misongo ya maisha ,kabla hata ya wakati .
 
Katika matatizo haya ya afya tunatakiwa kuangalia kiini ni nini , ili kuundoa mzizi wake, tuangalie imani zetu, zisizo na ukweli,zinazoleta fikra mbaya , matendo na tabia zetu za ulaji nazo ni sababu tosha ya kuleta matatizo ya afya zetu.tukipata kiini ndipo tutajua na kuweza kurudisha fikra zetu kuwa nzuri , na hatuta hangaika na matatatizoya afya.



Kwa kupitia udadisi wa vitabu mbalimbali nimegundua funguo za saba za kufungua ,ambazo zitakutoa mahali ulipo na kukupeleka unakotaka kuwa.na utapata majibu.
 
1,KUWA MAKINI NA MAWAZO NA MATENDO YAKO:

Mara nyingi tunachukua muda mwingi kujiuliza tabia zetu ambazo zinakuwa mbaya, kwa mfano ; kwanini nimechukua hatua hii , kwa nini mawazo haya yameibuka wakati nafikiria kuhusu afya .
 
2.SIKILIZA MWILI WAKO UNATAKA NINI:

Je unahisi maumivu , msongo wa mawazo au uchovu? mwili wako unasema nini muda huu? mara nyingi mwili wako huwa unakupa vielelezo au saini ya kutaka kitu fulani na kukataa kitu kingine,lakini kutokana na hali ya maisha inakuwa ngumu kufuata matakwa ya mwili, tunakuwa tunalazimisha kula vyakula ambavyo havistahili .ndipo hapo mwili unapovunjika .

changamoto hizi za mwili na chakula ziko kukusaidia wewe na kukufundisha kusikiliza .
 
4.TOA UJUZI WAKO KWA WENGINE

Mara nyingi tunaandika vitu visivyowezekana ambavyo hatuna uwezo navyo, tunakuwa kama mpanda ngazi, ni kama mjasiria mari mdogo .toa ujuzi wako kama wewe ni mwalimu fundisha kwa bidii,kama wewe ni dactari fanya kazi yako vizuri , hudumia watu kwa moyo wote , maana wewe uko hapo ni nafasi uliyopewa na MUNGU ili uhudumie. fanya kazi kwa ajili ya watu si kwa ajili yako utapata mafanikio.

wewe ni kisima kinachotoa maji , sasa basi chota hayo maji yagawe kwa wengine.,ili watu wafaidike na ulichonacho.
 
3.VUNA MAFANIKIO

Mara nyingi hatuna muda wa kusherehekea vitu ambavyo tumepata ,au umbali gani tumetoka , kila wakati tunakuwa na sababu nyingi na mawazo ya kusikiliza mwili.lakini kuna kusherehekea kwa namna nyingi , waweza kuruka juu na chini, kulala na kufikria, kuimba kwa kutoa sauti, kwenda kumsaidia mtu yeyote mwernye mahitaji na unatakiwa wakati mwingine kupumua na kuvuta hewa tu
 
5,MWAGILIA MBEGU

Maisha yetu ni swa na shamba au mmea uliooteshwa ,unatakiwa kumwagiliwa na kupaliliwa ili uwe na rutuba na afya njema, wakati tunapopalilia tunaondoa uchafu na vitu ambavyo vinaleta kukosesha hewa , kwa hiotunatoa ili kuacha mwili uwe safi .

unapokuwa na tabia nzuri unajiongoza kuwa na mawazomazuri,jisamehe mwenyewe, usiige tabia za watu ,amini utendacho,fanya upendacho,kula vizuri ,matunda mboga ,tafakari ,ishi sasa.
 
Back
Top Bottom