Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

gardens-around-the-world-dubai-miracle-garden-designs.jpg
 
Jana. Siyo Connor. Ni huyo Habib. Connor was choked out watu wanajaribu kumsaidia. Habib aliyeshinda akaruka nje ya Octagon kwenda kwenye kambi ya Connor na kuanza kuzichapa kavu kavu na jamaa mmoja huko. Halafu jamaa wawili wa kambi ya Habib wakaingia ndani ya Octagon na kuanza kumtandika Connor wakati akiwa bado anasaidiwa. Nadhani walimgonga na ngumi za kisogo kama mbili hivi kabla mapolisi hawajaingilia kati na kutuliza ghasia. Watu watatu kwenye kambi ya Habib walikamatwa na pesa zake hajalipwa zimeshikiliwa na Nevada Athletics Commission.

Leo Habib anaulizwa anasema kwamba jamaa mmoja kwenye kambi ya Connor alikuwa anamtukania baba yake, dini yake na nchi yake. Ndiyo ikabidi aruke nje kwenda kukata mzizi wa fitina...
Du hatari sana
 
Back
Top Bottom