Indeed
Kweli malkia wangu nimepata kigugumizihahaha walahi
Na kwako piaiwe jioni ya baraka
Mambo vipi mkuu weekend ijayo nitakuwa HandeniTupo poa kabisa
Yap mipango ilikubaliNaona sare ilipatikana.
Duh!!! Ila sijui kama msimu utaisha salama
Amen.Tarajia BARAKA hata kama magumu yanakusonga.
Utaishi kwa AMANI.
⛤⛤⛤⛤⛤⛤