Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Habari za jioni wapendwa
Jambo la kumshukuru Mungu!!Mimi sijambo. Mbona umepoa sana siku hizi hapa jukwaani?
Tunaomba mbwembwe zirudi, if possible [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Jambo la kumshukuru Mungu!!
Nadhani majukumu yamechukua nafasi kubwa ya mbwembwe nilizokuwa nikizifanya.
Hahahahaha!!!Tunaomba mbwembwe zirudi, if possible [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Na wewe umekuwa mkorofi siku hizi? Za kupeana nini? Za miaka?Usiku wa kupeana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha!!!
Nitajaribu, si wajua tena nchi ya Viwanda hii...Tunazalisha usiku na mchana.[emoji23]
AminUsiku uwe mwema kwetu wooote
Na kwako piaUsiku uwe mwema kwetu wooote
Milele yoteBaraka za usiku ziwe nasi
LikesUsiku wa kupeana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]