Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli kabisaOnesha tabasamu hata kama moyo wako unavuja DAMU...
Utaishi kwa AMANI..
⛤⛤⛤⛤⛤⛤⛤
Nlimiss hicho kineno..... Za miaka nzuri Mungu ashukuriwe, za kwako SYB?Na wewe umekuwa mkorofi siku hizi? Za kupeana nini? Za miaka?
Mia miaUsimchukie mtu yeyote hata kama amekukosea SANA.
Utaishi kwa AMANI
⛤⛤⛤⛤⛤⛤⛤
Miye sijambo. Shiro hajambo? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nlimiss hicho kineno..... Za miaka nzuri Mungu ashukuriwe, za kwako SYB?
Mia miaTarajia BARAKA hata kama magumu yanakusonga.
Utaishi kwa AMANI.
⛤⛤⛤⛤⛤⛤
Haswaaaa!Kweli kabisa
Mia miaHakuna gharama kuishi na watu pasipo kujilimbikizia chuki mioyoni mwetu..
Tutaishi kwa AMANI sana.
⛤⛤⛤⛤⛤⛤⛤⛤⛤⛤
Nlikumiss piaa mzee wa ini.... Za siku mingi?Jakitoo miss u sana
Shiro hajambo ntamleta aje kukusalimu[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Miye sijambo. Shiro hajambo? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Salama kabisaMzee vipi huko uliko.
Tena mwambie aje na Ningendako. Wakipotea wanapotea pamoja kha !!!Shiro hajambo ntamleta aje kukusalimu[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hakika majukumu yakizidi ni shidaJambo la kumshukuru Mungu!!
Nadhani majukumu yamechukua nafasi kubwa ya mbwembwe nilizokuwa nikizifanya.
Umeona eeeh!! Likes zipo tu kusindikizia siku.Zalisha mkuu, taifa letu tunaambiwa bado changa, likes zipo tu. [emoji3] [emoji3]