Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro kuna saa anajisahau,mara screenshot,mara hatuna pa kugusa mara ameizing hahahah
Skrinishoti kwaaaaaaa !!!

Nothing personal jamani. Ni utani tu and I love you my vimbaumbaus. I hope hakuna anayekwazika...

Halafu ikitokea tumekutana mara paaaap kumbe vibonge mnaburuta misambwanda....haki ya nani naua mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chenye hao vimbaumbau wamekufanyia inabidi wakuandikie walaka wa kukuomba msamaha,si kwa maneno hayo[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sidhani kama wana kosa, ila waambie wale washibe dadangu, wanaume wa kiafrika ni tofauti sana na weupe[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
hahahaaaaaaa..............................
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…