Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikitokea sisi tukajenga flyover ya hivi aisee itakuwa mapumziko ya kitaifa mwezi mzima [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji16] [emoji16] [emoji16] Ndoa zote zitafungwa hapo, birthday ni hapo, kumunio, kipaimara, ubatizo na watalii wa ndani toka kila pembe ya nchi watamiminika kwenda kujifotoa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naaminu katika hilo mkuu
 
Takriban watu nusu milioni wanatakiwa kuondoka haraka katika makazi yao eneo la kusini mashariki mwa Marekani ili kukupisha kimbunga Michael ambacho kinakaribia kulikumba eneo hilo.
Taarifa za watabiri wa hali ya hewa zinasema kimbuka hicho kwa sasa kimekwisha ingia katika hatua ya tatu na kuongezeka kasi yake kwa kadri kinavyopitia ghuba ya Mexico kuelekea Jimbo la Florida,Alabama na Georgia.
Kimbunga hicho kinasababisha upepo mkali ambao unakwenda kwa kasi ya kilomita 200 kwa saa,ambapo wataalam wanasema kuwa wakazi wa jimbo la Florida leo huenda watakumbwa na mawimbi maji yatakayotupwa nje na upepo huo kwa kimo cha urefu wa mita tatu jambo ambalo ni hatari hivyo wanatakiwa kuondoka maeneo yanayolengwa na kimbunga Michael.
 
Gvana wa jimbo la Florida Rick Scott, amekielezea kimbunga hicho kuwa ni hatari Zaidi.
Kutokana na hali hiyo majimbo ya Alabama, Florida na Georgia yametangaza hali ya hatari,ambapo Alabama maeneo 92 watu wake wanatakiwa kupisha madhara ya kimbunga hicho Michael kusini mwa jimbo la Georgia na maeneo 35 ya jimbo la Gergioa kimbuka hicho kinatarajiwa kuyafikia.
Naye Gavana wa Jimbo la Carolina ya Kaskazini Roy Cooper ameonya kwamba watu wake kwamba wanatakiwa kuchukua tahadhali kwani huenda madhara ya kimbunga hiki yakawa makubwa Zaidi ya Kimbunga Florence kilicholikumba eneo hilo mwezi uliopita.
 
Ushauri wa Mwisho Mwisho

As you ready yourself for the storm, few recommends taking the following precautions:
Stock an emergency preparedness kit with:

- Canned food
- Water
- Cash
- Medications
- Flashlight and batteries
- Portable charger
- First aid supplies
- Important papers, like mortgage documents and insurance policies
Keep your credit and debit cards with you
Verify your account contact information is up to date — especially your phone number and address in case we need to reach you
Fill your car with gas before the hurricane hits when fuel supplies are often disrupted
Make sure your devices (phones, laptops, tablets, etc.) are fully charged
For additional tips, visit fema.gov.


Please stay safe, and if you need help, call us anytime at 1-877-247-2559.
We're here 24/7.
 
Jua huwa na joto sana, kwa hivyo linafaa kuwa na moto mkali. Wanaosafiri anga za juu huwa wako mbali sana na Dunia, kiasi kwamba huwa hawahisi nguvu mvuto zozote. Ni kweli?
La hasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…