Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo tu panya tukikosea stepu wakati wa kuch kuch za kubembelezana uji wakaangusha sinia ndani watu watasahau usingizi kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
AINA YA WATU NA VITU 10 VINAVYOUDHI ZAIDI UKIWA OFISINI

1.Kuongea na simu kwa sauti kubwa, mpaka kila mtu anajua unaongea nini na nani
2.Kula vyakula vyenye harufu kali ofisini, pengine kwa mazoea au pengine wewe unamamlaka makubwa hapo ofisini
3. Mtu ana miaka mitatu kazini na hawezi kufanya kazi zake mwenyewe. Mbaya zaidi wakubwa wanajua na hawachukui hatua yoyote.
4. Kuzungumzia siasa au dini ofisini wakati ofisi haifungamani na siasa wala dini yoyote.
5. Wafanyakazi ambao muda wote wamechanganyikiwa au wanalalamika muda wote. Inaudhi kufanya kazi na watu wa namna hii
6.Kubonyeza Keyboard kwa nguvu au kupiga kelele ofisini
7. Vikao visivyoisha.
8. Ndugu wa bosi kuwadharau wafanyakazi wengine au kujipa mamlaka na kutaka heshima eti tu kwa kuwa yeye ni mtu wa karibu wa bosi
9 Kuja na watoto ofisini
10. Watu wenye Majungu. Wengine hushinda kwenye dawati la mfanyakazi mwenzie akipiga soga na kusahau kazi yake.
 
MAJIBU KUMI YATAKAYOKUVUNJA MBAVU UKIMSHTUA MTU ALIYEPITIWA NA USINGIZI OFISINI/DARASANI

DARASANI
1.Daaah! inabidi niache kusoma mpaka usiku maana jana nimesoma wee acha tu!

2. mmh hili somo litaniua bwana yaani natafakari hapa wala sipati jibu! (kumbe alilala)

3. Bora umekuja hivi ndo nilikua nakusubiri wewe tufanye discussion daah!

4. Aisee ile dawa niliyokunywa jana usiku siitumii tena!



5. Aaaaah! Mbona umeni “interrupt?” yaani ndo nilikua nakaribia kupata lile jibu la swali tuliloachiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…