Afadhali hata Bombadia yetu haikwenda [emoji16][emoji16][emoji16]Cape Verde 2 Tz 0 dakika ya 65
Nusu mwezi eeeh!? Hivi kwangu huwa vinakuja na kupotea. Kama sasa ni full moon yaani. Mngekuwa siyo wachunguzi wa vidole ningeweka picha hapa dokta uone [emoji16][emoji16][emoji16]Na aina ya nne ni kucha ambazo hazina alama ya nusu mwezi kucha hizi humaanisha mtu ana udhaifu na afya mbovu, Hii husababisha msongo wa mawazo, kubadilikabadilika kwa ”mood” ya mtu, kuongezeka uzito na kuwa na nywele nyepesi.
Hahahaha!3. Usitumie poda asana
Wanawake wengi wanfikiri kwamba kutumia poda nying ndio kupendeza zaidi. Matokeo yake, wanaishia kufanana na jinni.
Suluhisho:
Tumia poda inayofanana na ngozi yako
Usiweke poda nyingi. Kiasi kidogo kitakutosha
Timu ya ufundi pengine haikusafiri [emoji16][emoji16][emoji16]Tanzania yapigwa la 3
Wekaaaaaa hata siangaliii vingine[emoji23][emoji23]Nusu mwezi eeeh!? Hivi kwangu huwa vinakuja na kupotea. Kama sasa ni full moon yaani. Mngekuwa siyo wachunguzi wa vidole ningeweka picha hapa dokta uone [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha!
Eti jini, zamani nilikuwa nikifikiri jini ni mwanamke aliyejipamba uso kupita kiasi + nywele bandia (Ndefu) na mikucha ya bandia kama yote[emoji23].