Ni baada ya kumuona ndama akinyonya...Hivyo nae akalijaribu hilo zoezi, sema yeye akaona iwe tofauti kidogo kwa kutumia mikono kukamua maziwa badala ya kunyonya.. Alifikiri "Mmmmmh , jitu zima hivi niiname kama ndama kunyonya maziwa??............. HAIWEZEKANI.Bado nawaza aliyegundua kumkamua ng’ombe chuchu na kunywa maziwa yake alikuwa anawaza nini. Alijuaje.
Siupatii picha mjurubeng uliofichwa humo[emoji3][emoji23][emoji23][emoji3]Ka urefu wa kidole fulani eti kuashiria pia urefu wa mjurubeng? Ila afadhali tu mpoe hivi hivi kwa kweli. We na shogako mlikuwa tatizo kwa kweli. Good ole days [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji116] View attachment 896028
Yaani paap unaanza kuliwa ukiwa hai. Hii food chain hii nayo mhhh !!!
Huyu baba huwa anaongea cherehani cha mtoto. Ajaribu kutenganisha mambo ya club na maswala ya kiintelijensia hasa kwa wadhifa alionao. Huku mitandaoni watuachie sisi watu baki ndo tuchonge midomo
1. Nyusi
Kuna tabia ya wanawake kunyoa nyusi zao sana, na wengine kuzitoa kabisa. Alafu, wanaishia kuzichora na rangi nyeusi.
Hii inamfanya mwanamke kuonekana kama kikatuni.
Sasa:
Badala ya kunyoa nywele zote, zipunguze kwa kiasi kidogo
Usituimie rangi nyeusi kuzijaza. Tumia rangi ya brauni
Kwa muonekano wa kiasili zaidi, tumia nyusi, poda ya nyusi au gel badala ya penseli.
Kigali au au ni Mbulu?
4. Tumia blush kwa usahihi
Kutumia kwa usahihi ni tatizo duniani.
Suluhisho:
Tumia blush kwenye mifupa ya mashavu, sio kwenye mashavu yenyewe.
Kama una ngozi yeneye uweusi zaidi, tumia blush ya rangi ya dhahabu au zambarau.
Usiku wa firigisiUsiku wa burudani
Kaaaazi kweli kweliDuh!
kanyokuluKifukufuku kwetu tunaita hivo kwenu mnaitaje?
23:4121:50
[emoji16] [emoji16] Hivi sasa unaamini jini anafananaje?Hahahaha!
Eti jini, zamani nilikuwa nikifikiri jini ni mwanamke aliyejipamba uso kupita kiasi + nywele bandia (Ndefu) na mikucha ya bandia kama yote[emoji23].
Fuku fuku[emoji16] [emoji16][emoji116] View attachment 896028