Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kumbe mtaalamu pia wa hivi viumbe??? Sikujua..
Uache uchokozi....Watakuiginoa.
Roho ya mizimu, majini na miungu kamwe haifui dafu mbele ya jina kuu la Yesu Kristu wa Nazareti. Hizi zingine mbwembwe tu...

Kuwa iginoadi nshazoea na hainiongezei wala kunipunguzia cho chote. Ukiniiigoa nami nakuiginoa tu. Ngoma drooo...Nasubiri siku utakayoniiginoa. Au nitakayoiginoiwa na Kaisiki. Naona nitahama na JF kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahahaha!!
Ikitokea nikakuiginoa nawe utaniiginoa ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…