Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imekuwa je tena!!!
 
Kweli. Na likes hazilazimishwi. Kama unaona mtu hakupi likes si na wewe unamnyima za kwako na maisha yanasonga jamani? Isitoshe Cocochannel anagawa likes kwa wingi tu. Kuna wakati mwenyewe hapa nilim-test nikaacha kumpa katika pages kama mbili hivi alilalamika kidogo lakini wakati huo huo akiendelea kunimwagia likes bila wasiwasi.

Likes hizi kwangu is just like a game. Ni sawa na mtu anayecheza game kwenye kompyuta. Tusiwe siriazi sana. Lengo ni kufurahi na ku-relax na hakuna haja ya kugombana kabisa wapendwa. Tuvumiliane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…