Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539518466561.jpg
 
KULALA KIDOGO MCHANA
Je, umewahi kulemewa na usingizi baada ya chakula cha mchana? Hiyo haimaanishi kwamba hukulala vyakutosha. Ni kawaida kusinzia wakati wa mchana kwa sababu joto la mwili hupungua wakati huo.

Kwa kuongezea, hivi majuzi wanasayansi wamegundua kwamba kuna protini inayoitwa hypocretin, au orexin,inayotengenezwa na ubongo ambayo hutusaidia kuwa macho. Kuna uhusiano gani kati ya hypocretin na chakula?
 
Tunapokula, mwili hutengeneza homoni inayoitwa leptin ambayo hutufanya tuhisi tumeshiba. Lakini homoni hiyo huzuia utengenezaji wa hypocretin.

Yaani, kadirileptin inavyokuwa nyingi kwenye ubongo, ndivyo hypocretin inavyopungua na tunahisi usingizi zaidi. Labda hiyo ndiyo sababu katika nchi fulani watu hulala kidogo baada ya kula chakula cha mchana.
 
Diego Maradona amemponda Messi kwa kitendo chake cha kwenda chooni mara 20 kabla ya mchezo kuanza, Maradona pia amewataka Mashabiki wa timu ya taifa ya Argentina kutomtukuza Mchezaji huyo kwa madai ya kwamba Messi wa Barca ni tofauti na Messi wa Argentina.
 
Back
Top Bottom