Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mfaransa

Halafu kuna mfanyabiashara wa Kifaransa ambaye hapendelei kutajwa jina lake lakini inajulikana alishikiliwa kwa miezi miwili huko Marbella. Kwa mujibu wa gazeti la Telegraph, mfanyabiashara huyo alilazimishwa kukomba fedha zote kwenye akaunti zake za benki na kubadilisha utajiri huo kuwa miche ya dhahabu.

Watekaji walimwachia na walimtishia kumuua ikiwa asingewatumia Euro 100,000 kila wiki.
 
Kashfa ya matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku michezoni zikiwemo za kusisimua misuli imezidi kuathiri mchezo huo nchini Kenya.

Hiyo inatokana na kufungiwa miaka minne kujihusisha nariadha kwa mwanariadha chipukizi wa mbio ndefu za marathon, Samuel Kalalei baada ya kufeli vipimo vya damu.

Mwanariadha huyo mwenye miaka 23, alifeli vipimo alivyofanyiwa Aprili mwaka huu katika mbio za Rotterdam Marathon nchini Uholanzi.

Kalalei, alikuwa akijiandaa kujiwekea muda bora zaidi katika mbio ndefu baada ya mwaka jana kutwaa ubingwa wa Athens Marathon.
 
Kalalei alisimamishwa Juni mwaka huu kujihusisha na riadha akisubiri uamuzi wa matokeo ya uchunguzi wa vipimo na baada ya majibu kutoka na kubainika kuna chembe chembe za dawa zilizopigwa marufuku amefungiwa.

Huyo anakuiwa mwanariadha wa tatu wa Kenya kufungiwa tangu Novemba mwaka 2017 wa kwanza alikuwa Asbel Kiprop, aliyefungiwa Novemba 2017.

Pia bingwa wa zamani wa Olimpiki katika mita 1500 na mshindi mara tatu wa Dunia Jemima Sumgong wamefungiwa kwa miaka minne.
 
446728463_236155.jpeg
 
852925012_170095.jpeg


Kuna imani kwamba mwanamke kamwe huwa hasahau mwanaume aliyemtoa bikra...na anytime akitaka kuingia tena katika barabara aliyoifungua mwenyewe he is always welokamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom