Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ni afadhali awe mshamba wa Kisukuma kuliko mwanaume wa Dar?
Teh!mnapanda mwendokasi mmoja kakaa nyuma mwengine mbele mnaanza kupiga stori[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume wa dar tafadhali[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hizo siku hazitakaa zijirudie humu,kipindi kile hakukuwa na pang'ang'a nyingi kama sasa.
Watu wanataniana na kufurah kwa pamoja,siku hizi mmh!![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hizo siku hazitakaa zijirudie humu,kipindi kile hakukuwa na pang'ang'a nyingi kama sasa.
Watu wanataniana na kufurah kwa pamoja,siku hizi mmh!![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Don't let other people dictate your life. Follow your shoga's mantra and you will be just fine. I did and since I stopped giving a shit to what other people think of me, I am happy, free, jovial and complete. Thanks my Rolo Modo. Sema nawe mwoga. Nikikuita kuja kuchukua zawadi yako unazingua. Aaaaaarghhh !!![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ewaaaaa!!maana mzaramo na msukuma mila na deaturi haziendani(nimenukuu maneno ya mwalimu)[emoji23][emoji23]
...endi vaisi vesa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu hii tabia ya kuongelea makabila sijui imetoka wapi. Mnataka kutambika? Leo ni siku ya Mwalimu Nyerere na mmeamka na nyuzi za kushambulia Wasukuma. Shame !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…