Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na ni muhimu pia kijana uoe dem presentable ndio asiwe anaambiwa awashe jiko ama aoshe matumbo every time mko na family gathering[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine wanaambiwa watengeneze salad,bibi yako kazi tu ni kupepeta jiko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Please soma hii kwa makini kama una nia ya kujiongezea elimu. Ninawafahamu hawa jamaa vizuri sana. Kama unakidhi vigezo wanakupa scholarship hakuna cha mjomba wala shangazi. Kama unahitaji msaada wa application letter tuwasiliane. Kwenye hiyo application letter hakikisha unaweka wazi kwamba ukimaliza masomo yako una nia ya kurudi nyumbani na ueleze kwa ufasaha kabisa jinsi elimu hiyo itakavyoisaidia jamii yako. Itakuwa vyema kama utakachosema kitakuwa ni kitu tangible ambacho una passion nacho. Good luck folks [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Prof kama una wanafunzi wenye Masters nzuri na wanahitaji PhDs. Hii ni nafasi nzuri na ukiwaongoza kwenye applications zao bila shaka watapata. If you need my personal experience on this issue let me know.

Thanks prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…