Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku tunamshukuru Mungu, bado tunamuombea mwajiri wetu mkuu wa sekta binafsi apatikane haraka iwezekanavyo
Safi kusikia hivyo. Kwa neema ya Mungu Atapatikana akiwa hai na timamu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Japo familia walichelewa kidogo, bilioni moja hiyo bila shaka inatosha kumtoa nyoka pangoni unless kama hao watekaji siyo waswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…