capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Maswali yako bro mengine yananifurahishaga sana. Kuwanunua hawa yataka moyo sana ila kwa vile biashara yao ipo miaka nenda miaka rudi bila shaka wana wateja wa kuaminika bro. Dunia hii ni kila mtu na lwake. Mimi sijawahi bro na sitakaa nijaribu...Aiseee bro umewahi kununua, utakujaga kununua Hao viumbe? ??
Jowie alimwua mdada then akajipiga shaba begani kama alibi kuwa kapigwa na majambazi.Shaba alijipiga akiwa nyumbani kwa Maribe halafu baadae wakaenda polisi kureport kuwa jamaa kavamiwa na majambazi wakampiga bila kumwibia....Dada alishiriki kudanganya polisi kuwa jamaa hajajipiga ila ameshabadili kauli kuwa jamaa alijipiga.Sijaisiki hiyo kesi kiundani naisikia kwa juu juu tu na sijapata muda wa kuifuatilia
Wana heri wazisomao hekima zako.Maswali yako bro mengine yananifurahishaga sana. Kuwanunua hawa yataka moyo sana ila kwa vile biashara yao ipo miaka nenda miaka rudi bila shaka wana wateja wa kuaminika bro. Dunia hii ni kila mtu na lwake. Mimi sijawahi bro na sitakaa nijaribu...
Halafu nikwambie kitu. Ni ishu ya viwango tu lakini hata wengi ya hawa maslei kwini waliojazana instagram, Badoo, FB na kwingijeko ni machangu tu hata kama wanafanyia katika mazingira tofauti na kutoza dau kubwa...In Nyerere's voice "ni machangudoa tu" [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kuna kila kitu katika uzi huu bro; na kuna watu wa kila aina huku. Wewe mwenyewe nadhani ulichelewa kidogo kulitambua hilo.Wana heri wazisomao hekima zako.
Huu uzi kuna watu wanaukejeli ila ni among the best threads!!
Ni kweli, nilikua napita juu juu sana ...Kuna kila kitu katika uzi huu bro; na kuna watu wa kila aina huku. Wewe mwenyewe nadhani ulichelewa kidogo kulitambua hilo.
Sababu ya kujipiga shaba ni nini? Kuna dili walikuwa wanafanya au ni ishu za mapenzi?Jowie alimwua mdada then akajipiga shaba begani kama alibi kuwa kapigwa na majambazi.Shaba alijipiga akiwa nyumbani kwa Maribe halafu baadae wakaenda polisi kureport kuwa jamaa kavamiwa na majambazi wakampiga bila kumwibia....Dada alishiriki kudanganya polisi kuwa jamaa hajajipiga ila ameshabadili kauli kuwa jamaa alijipiga.
Dada wa watu atakua anajuta, inawezekana alikua anambackup jamaa akidhani jamaa ni innocent ila atakua anajuta saivi.
Aiseee bro umewahi kununua, utakujaga kununua Hao viumbe? ??
hiiiiiiiiiiiiiMaaaamemamemamemaaaeeeeeee eee kashika kashika kashikaaaa
Utafikiri Beyonce. Au ni yeye?
Karibu mkuu.Huu Uzi nahisi unaongoza kwa kua na comments nyingi.