Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Huu ni ubaba/uanaume , baba la baba!!Eheeeee !!!View attachment 900270
Huu ni ubaba/uanaume , baba la baba!!Eheeeee !!!View attachment 900270
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
Nimeikuta sehemuWeeee mchokoziiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unakosa kazi za kufanya dume zima na kende zako unasherehekea bday?[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole kama nimekukwaza.
Ila huo ni umama
Siku ya kuzaliwa hapanaInawezekana kweli, ila kwa nyakati zetu hali ipoje.?
Tunashehereke aje.?
HahahaHe!!! Hiyo simu anayo nani!!!!!!!!!
Aisee watu wapo serious yaani wameazisha whatsapp groups za kumtafuta Mo
Mo ndio habari ya mjiniUnajikaushaaaa ka si wewe vileeee. Wiki hii na iliyopita mbaya kwa wala ubuyu yaan kila kona ni MO tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]