Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

42573539_2163744170558024_2851437586596646503_n.jpg
 
Wataacha wakipewa mitaji ili wajikwamue na ugumu wa maisha,sidhani kama kuna mwanamke anaependa kujiuza.
Sidhani kama kuna taifa ambalo limefanikiwa kutokomeza machangudoa. Ukiwapa mitaji hawa wataibuka wengine tena wadogo zaidi. Hii ni biashara kongwe kuliko zote hapa duniani...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom