mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shwaini kabisa.Creation is quiet? Big Bang is quiet?
Are you sure?
Hujashuhudia creation in action mtu kazidiwa na mjurubeng anapiga makelele kama anachinjwa? [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hii nilishaisikia, hizi camera ziliona mengi kwakweli.
Alibi ili asijulikane kama ndiye aliyemwua huyo dada mwingine.Sababu ya kujipiga shaba ni nini? Kuna dili walikuwa wanafanya au ni ishu za mapenzi?
Hahahahaha! Eti tbt.Kama ni ya bosslady ni throwback ile,maana saiv yupo busy na kazi ya kesho na baba ake beyonce
Naona umeamua kuwatamanisha wanaume wa Dar usiku huu[emoji23]
Hili nalo neno..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nipe namba numuulize hilo dafu kanunua wapi?
Inafanana na menu ya Buffalo grills
FactBillioni moja kwa kweli si mchezo naona hataa IGP anazitamani