Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aiseee
 
carbamazepine

@tzshaderoom: #roommetes breaking news msanii wa bongo flavaaa kadaka mimba ya mchaga cjui alitaka kumkomoaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aanze kula pesa zakeee mara paaap anapokea vipimo mbele ya mbea mda huuu yaani sasa hivi kuwa mimba anayo na ngwengwe pia ipo ccheki kuwa nafurahia nacheka jee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ataendelea na plan au atajimunalove πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nikaoshe vyomboo mie πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ nisije tumia mali za seeikali bureee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
MAMBO YA KUTAFUTA KATIKA MWENZI.

Wazia ala mbili za muziki, labda marimba (piano) na gambusi (gita). Zikirekebishwa sauti kwa usahihi , yoyote moja kati yazo yaweza kutokeza muziki mtamu ikiwa moja tu. Hata hivyo, inakuwaje ikiwa ala hizi zinapigwa pamoja? Sasa ni lazima sauti zao zipatanishwe.
Ndivyo ilivyo na wewe na yule atazamiwaye kuwa mwenzi. Huenda kila mmoja wenu akawa amejitahidi kurekebisha vitabia vya utu wake akiwa mtu binafsi. Lakini sasa swali ni je, nyinyi mwapatana?? Mwafaana???????????????
(2 Wakorintho 6:14)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…