Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna ubuyu gani kuhusu kifo cha huyo Jr? Nimeona picha tu zimezagaa akiwa ameshikana mkono na mwanamke mmoja hivi mrembo nikaassume ni Mrs wake.
Huyo mwanamke anaitwa lilian kamazima,alivishwa taji la miss Tanzania baada ya miss aliyekuwepo kuvuliwa kwa kudanganya umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…