Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Sema marehem naye alikuwa na moyo na mapenzi sana kwa bidada.
Tatizo hawa maslay kwini wetu wanataka ku maintain status zao kwenye macho ya watu,na naona wengi wanatamani maisha ya mama machache hawajui bahati ya mtu hailaliwi mlango wazi.

Ila nawaza je angeweza kuwa mama mchungaji??
 
Kuna ubuyu gani kuhusu kifo cha huyo Jr? Nimeona picha tu zimezagaa akiwa ameshikana mkono na mwanamke mmoja hivi mrembo nikaassume ni Mrs wake.
Huyo binti ndo alikuwa mchumba ake,aliwahi twaa taji la miss tz mwaka fulani.
Yasemekana alimcheat mshikaji na njemba ingine jamaa kapatwa na msongo wa mawazo karudisha kadi kwa sir God.
 
TANGAZO
Naomba kuwatangazia kwamba Idara ya Kichungaji Jimbo Kuu la DSM wameandaa Hija ya nchi Takatifu Israel wakati wa Noeli Tar. 19/- 30/2018 Mahujaji watapitia Cairo Misri ambapo watatembelea Mapiramid, alikozaliwa Musa na alikofikia Mtoto Yesu alipokimbilia Misri enzi ya Herode. Baada ya hapo watasafiri kwa gari kupiti Mlima Sinai watapanda mlimani Musa alipokabidhiwa Amri Kumi, watapita Jordan na kupitia na kuona mlima Mebo alikofia Musa, ndio waingie na kutembelea Nchi Takatifu. Gharama ya Hija hiyo ni Dola 2,150. Hiyo inagharamia VISA, Usafiri, Malazi na Chakula cha Usiku na Asubuhi. Kwa wale wanaopenda waje na Hati zao za kusafiria picha Paspot size (white background)2X2 na Advance ya Dola 1,000/- Fedha zinalipwa kwenye Benki ya Mkombozi. Idara ya Kichungaji A/C Na. 00154001035401. Mwisho wa kutoa malipo yote ni Tar. 30/11/2018. Kwa maelezo zaidi, Wamwone Fr. Joseph Matumaini, Mkurugenzi wa Kichungaji ambaye pia ni Paroko wa St. Joseph au Ndg. Cletus Majani. Afisa Uhusiano Jimbo. Au Simu Na. 0753 500 899 Fr. Matumaini au 0766 429 667 Majani.
Tangazo hili limetolewa na Fr. Joseph Matumaini - Mkurugenzi wa Uchungaji - Jimbo Kuu la Dar es Salaam
 
asante jirani kwa Tangazo
 
Wanawake mara nyingi hawajui wanataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…