Duuh hii nayo kali sanaWasafiri na mawakala wa mabasi mikoani katika stendi mpya mjini Tabora wameingiwa na wasiwasi baada ya kutokea kuku chini ya uvungu wa mabasi yaendayo Mbeya ambaye hakuwa na manyoya huku akiwa amefungwa hirizi nyekundu.
SOURCE *ITV*View attachment 901405
AminNatumaini yupo salama, popote alipo. Mungu amsaidie
Ngoja nikutafuteMkuu kwema? Simu ilileta shida kidogo. Sikuoni whatsapp mkuu
Ewaah hapo tunaongea lugha moja sasa
Akupe kama yoteeeNipe bila kunipimia
Ewaah hapo tunaongea lugha moja sasa
Mixer kufinyia kwa ndani. Hahahah nimekumbuka mbali aiseeAkupe kama yoteee
Wangemkamata wamfanyie kajiutafiti kidogoWasafiri na mawakala wa mabasi mikoani katika stendi mpya mjini Tabora wameingiwa na wasiwasi baada ya kutokea kuku chini ya uvungu wa mabasi yaendayo Mbeya ambaye hakuwa na manyoya huku akiwa amefungwa hirizi nyekundu.
SOURCE *ITV*View attachment 901405