[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mixer kufinyia kwa ndani. Hahahah nimekumbuka mbali aisee
Akifika kwenye nanii nitag[emoji23][emoji23][emoji23]akili yangu imewaza mbaliHeading tu imepeleka akili yangu mbali, ngoja tuone nini kitaendelea
Matunda ndo yameisha?5.Walnuts na Ubongo.
Inashangaza kuona vyakula baadhi jinsi vinavyofanana na sehemu ya mwili , kama walnut inafanana kabisa na ubongo wa human being. inasaidia mikunjo na kasoro kwenye mwonekano , imekusanya Omega 3, fatty acid inayotegemeza afya ya ubongo ili kufanya kazi vizuri na pia ina vitamini E.
Matunda ndo yameisha?
Acha maskhara basi[emoji23][emoji23]