[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmh nyiie watuTafuta tafuta basi na matunda mengine
😛😛[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmh nyiie watu
UmenikomeshaView attachment 901468
Canada nchi poa sana. Haya mambo ya kutekana yakizidi kupamba moto Canada ndiyo pa kukimbilia bro...Canada inakua nchi ya kwanza ktk G7 kuhalalisha bangi kuanzia leo.Kila familia itaruhusiwa kupanda hadi miche minne ya bangi na kila mtu ataruhusiwa kutembea na bangi isiyozidi gramu 30.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijataja mtu mieView attachment 901458
Atua nzuri sanaCanada inakua nchi ya kwanza ktk G7 kuhalalisha bangi kuanzia leo.Kila familia itaruhusiwa kupanda hadi miche minne ya bangi na kila mtu ataruhusiwa kutembea na bangi isiyozidi gramu 30.
Hata ndizi na matango hajataja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Somebody is super sensitive...Haya sasa.View attachment 901501