Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya miaka 10 bila UCHUMBA wala NDOA Sean "Diddy" Combs,48, na Cassie,32, wameachana na kubaki marafiki,CASSIE amerudisha juhudi zake Ktk muziki na filamu, DIDDY ni baba wa watoto sita na january mwaka huu alisema alitaka kuwa na watoto wengine wawili na Cassie.
Mahusiano ya wazungu bhana,yaani miaka 10 unakula papuchi bila shida tena buree na kuzalisha juu halafu mnaachana
 
emoji23.png
..

Endeleeni kuwatetea
Yaani bora tuwatete wanaume wa dar kuliko wa mkoani maana wao hubaka hadi kuku[emoji23][emoji23]
 
Ukamilifu wa mwanamke sio tu kujua aina za mapishi, kutoa penzi, kuwa mwepesi wakati wa kungonoana, mwenye kulipenda umbile lake zuri alilojaaliwa na Mungu, usafi na mwenye kuvutia bali pia uwezo wa kujua kumuwahisha mpenzi hasa kama mpenzi wako ni mmoja kati ya wale waliojaaliwa kwenda "mwendo mrefu" au kazoea kujizua na hivyo anashindwa kujiachia ili awahi....
 
Au inawezekana kabisa bao la kwanza kutoka kwake mpenzi wako linakuja haraka (kawaida kwa wanaume wengi hasa kama anahamu sana)lakini yatakayofuatia yanachukua "mwaka" hali inayoweza kukufanya utake kumuona mpenzi wako anakuja tena na tena....
 
Unaweza kujitahidi kumfanyia manjonjo na masham-sham ili ashindwe kujizuia na kumaliza mapema lakini njemba haifiki walanini.....hii ikitokea usikate tamaa na kujishtukia kuwa huwezi "game"...."game" unaiweza ila hujampatia tu......sasa nitakupa kambinu ambayo mwanaume yeyote hawezi kujizuia ikiwa utazipatia mbinu hizi
 
Kumbuka unapofanya hii mbinu lengo ni wewe na yeye kufurahia hivyo haijalishi ikiwa mtafika wote au yeye kuanza.........utahisi mchanganyiko wa hisia za raha, furaha, ukamili kama mwanamke na mapenzi ya dhati kwa mpenzi wako......inategemea zaidi na unavyolichukulia tendo hili takatifu, kama ni mpenzi wa tendo hili kama mimi basi utakuwa umenielewa vema.
 
Mkao-Kama kawaida mkao ni kifo cha mende na mtindo ni mwanamke chini.....kifo cha mende ni mkao wenye mitindo mingi ambayo haichoshi na inakuwezesha wewe mwanamke kuwa in control na kuwa huru kumfanyia mume/mpenzi wako mambo mengi kwa kutumia uke wako kuliko mikao migine.

Si kwa vile nimesema kifo cha mende basi wewe unakimbilia kitandani na kujilaza chali na kujipanua.....hapana! cheza-cheza nae mpe ile inaitwa "stata", au "hapitaita" kabla ya mlo kamili(hajalishi ni mzunguuko wa ngapi)....si unajua kuwa kila bao lina utamu tofauti??
 
Back
Top Bottom