carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hayo macho sasa ya team light skin[emoji7][emoji7][emoji7]
Mahusiano ya wazungu bhana,yaani miaka 10 unakula papuchi bila shida tena buree na kuzalisha juu halafu mnaachanaBaada ya miaka 10 bila UCHUMBA wala NDOA Sean "Diddy" Combs,48, na Cassie,32, wameachana na kubaki marafiki,CASSIE amerudisha juhudi zake Ktk muziki na filamu, DIDDY ni baba wa watoto sita na january mwaka huu alisema alitaka kuwa na watoto wengine wawili na Cassie.
Mie nitakuwa mwenyekiti[emoji16]Tumuundie kamati ya roho mbaya
Fafanua
😀 sawaMie nitakuwa mwenyekiti[emoji16]
Yaani bora tuwatete wanaume wa dar kuliko wa mkoani maana wao hubaka hadi kuku[emoji23][emoji23]..
Endeleeni kuwatetea
Bom!Za mdaa huu
Hawana mtoto. Ila shaaa na aika yatawakuta wasipokua wajanjaMahusiano ya wazungu bhana,yaani miaka 10 unakula papuchi bila shida tena buree na kuzalisha juu halafu mnaachana