Tunagawana nusu kwa nusu ohoo !
Vipi jirani kuna mtu kaibiwa?he!!
Siipendi michezo ya kufumaniana...Prof, unapenda kufumania au kufumaniwa? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
"...Mwanaume ni kichwa na aheshimiwe..."Nishamtumia, nipo namsikilizia hapa...Ondoa shaka, wewe utapata laki 7.. Kwetu ni mwiko kugawana nusu kwa nusu na mwanaume, mwanaume ni kichwa na aheshimiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpemba hana akiliMke wa MPEMBA KAMPELEKA MUMEWE BARAZA LA WAZEE KWA SHTAKA LA KAC YA MUMEWE KITANDANI! ALIKUWA HALALI MPAKA APIGE MAGOLI 5-6!
Baraza Likaamua KWA VILE MKE HAWEZI DHORBA HIZO BAC AONGEZE MKE AU KAMA NI HUYO HUYO ACZIDISHE MAGOLI MA 3 KWA CKU!
ucku ulpofika jamaa akapiga v3,
akatulia nusu saa akaona hapati ucngizi, ikabid amwite mkewe:-"mama sheha, mama sheha. jamani mama shehaa, c unckilize basii mwenzioo, cpat usingzii, nkopeshe magoli ya keeshoo!!.
Kufumaniana kuna raha yake. Hufanya mapenzi yarudi upya [emoji23][emoji23][emoji23]Siipendi michezo ya kufumaniana...
Sema kitabu hichi kilijaa hadithi za usaliti wa mapenzi na mbinu za kufumania.
Dunia hii kuna mengi bado hatuyajui [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mmmmmmmhh!! Wachache sana!!Kufumaniana kuna raha yake. Hufanya mapenzi yarudi upya [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kuku kakaa dizaini kama ana twerk hivi
Kweli kabisa!Dunia hii kuna mengi bado hatuyajui [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 903734