Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo malkia mwenye miwani mizuri ikupendezayo kupita kiasi. Baada ya wiki moja ya kudeka nyumbani, uko tayari kurudi job? I hope you rested, enjoyed your family and you are now rejuvenated and ready to contribute to society again. Ubarikiwe sana!
Niko tayar kabisa though i hate mondays...amina ubarikiwe na wewe
 
Back
Top Bottom