ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hapana. Ni Mungu wetu Atupendaye!Je! Ni nguvu zetu!
PreciselyHapana. Ni Mungu wetu Atupendaye!
Kwa neno uko vizuri mkuu. Nakumbuka ulivyoshusha dondoo za Wimbo Ulio Bora mpaka Kichwa Kichafu akaomba po!Atukuzwe yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu sana kupita yale tuyaombayo au tuyawazaypo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani mwetu Efeso 3:20