Sema mkuu. Jana ulifika wapi na juhudi zako zile? Uzi huu raha sana. Namsubiri Kichwa Kichafu aamke. Sijui leo atakuja na stori gani kuhusu totoz...[emoji23][emoji23][emoji23]Hello shimba
Umeanza kuimba pambio tena?Bwana ndie mchungaji wangu
Nipo malkia mwenye miwani mizuri ikupendezayo kupita kiasi. Baada ya wiki moja ya kudeka nyumbani, uko tayari kurudi job? I hope you rested, enjoyed your family and you are now rejuvenated and ready to contribute to society again. Ubarikiwe sana!Mzee wa data SHIMBA nakusabahi
Amen!Mbariki mh rais wangu John Pombe Magufuli na viongozi wote wa serikali na chama tawala! Uwape BUSARA zako na HEKIMA zako! Maulana Mola wangu Rabuka unisikie!
Dude dont take things too seriously,asiekupa mpotezee mbona its simpleNa nilidhani baadhi yetu tungesimama mstari wa mbele kuhakikisha taratibu hazivunjwi ila na sisi tumekuwa tukishabikia uozo.
AMUN RAAmen!