Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli, ingawa Kiboko hawali nyama, Viboko hula nyasi pekee.
Nyumbu wale wanaokufa wakati wanahama toka Serengeti kwenda Masai Mara huwa chakula cha Mamba, Fisi, Mbweha na Tai. Mkuu kuna mengi sana ya kuburudisha

Ha hah

Yes kiboko hula nyasi! Ahsante.

Ila kuna vitu kaadhaa haviko sawa kwa mbuga zetu,

Wakati tukiwinda kuna wanyama muhimu sana hatuweza kuwaona, simba na tembo hatukuwaaona na nilisikitika sana.

Hivi hakuna uwezekano wa kutengeneza Zoo hapo serengeti.?

Yani incase tukawinda na tusikutane na wanyama tungependa kuona, basi tupata nafasi kutembea Zoo walau.

Imagine mtu anasafiri kutoka U.S kwa tour ya siku moja labda na hawezi kumuona Simba ama Tembo!
 

Umeanza....

Eti mpe maneno matamu kuanzia jikoni au sebuleni...Halafu unakosea unasema neno lisilofurahisha ugomvi unafumuka unajikosesha utamu. Siri ni kuuchuna tu. Kuromansika kwa maneno mpaka uwe ushamtia konokono mdomoni ohoo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Ni kweli, ingawa Kiboko hawali nyama, Viboko hula nyasi pekee.
Nyumbu wale wanaokufa wakati wanahama toka Serengeti kwenda Masai Mara huwa chakula cha Mamba, Fisi, Mbweha na Tai. Mkuu kuna mengi sana ya kuburudisha

Ha hah

Yes kiboko hula nyasi! Ahsante.

Ila kuna vitu kaadhaa haviko sawa kwa mbuga zetu,

Wakati tukiwinda kuna wanyama muhimu sana hatuweza kuwaona, simba na tembo hatukuwaaona na nilisikitika sana.

Hivi hakuna uwezekano wa kutengeneza Zoo hapo serengeti.?

Yani encase tukawinda na tusikutane na wanyama tungependa kuona, basi tupata nafasi kutembea Zoo walau.

Imagine mtu anasafiri kutoka U.S kwa tour ya siku moja labda na hawezi kumuona Simba ama Tembo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…