Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539982136358.jpg
 
Ha hah

Yes kiboko hula nyasi! Ahsante.

Ila kuna vitu kaadhaa haviko sawa kwa mbuga zetu,

Wakati tukiwinda kuna wanyama muhimu sana hatuweza kuwaona, simba na tembo hatukuwaaona na nilisikitika sana.

Hivi hakuna uwezekano wa kutengeneza Zoo hapo serengeti.?

Yani encase tukawinda na tusikutane na wanyama tungependa kuona, basi tupata nafasi kutembea Zoo walau.

Imagine mtu anasafiri kutoka U.S kwa tour ya siku moja labda na hawezi kumuona Simba ama Tembo!

Kuweka zoo Serengeti? Hapana mkuu. Huyo anayekuja kwa siku moja inabidi safari nyingine adundulize zaidi ajitahidi aje angalau kwa siku tatu.
 
Back
Top Bottom