capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Dah!Kuweka zoo Serengeti? Hapana mkuu. Huyo anayekuja kwa siku moja inabidi safari nyingine adundulize zaidi ajitahidi aje angalau kwa siku tatu.
Dah!Kuweka zoo Serengeti? Hapana mkuu. Huyo anayekuja kwa siku moja inabidi safari nyingine adundulize zaidi ajitahidi aje angalau kwa siku tatu.
Wewe si unayo?
Shilingi yako lazima iendane na uhalisia. Wewe umekuja kwa siku moja unataka kuona kila aina ya mnyama. Siku hiyo simba wameamua kujificha ndo unataka ujengewe zoo la simba? Hapo hapanaDah!
Jicho la biashara hilo!
Me naitazama Sh. yangu, niitoe alafu nisipate ninacho kitaka, hua inauma kinoma.
Ushaniruka tayari [emoji36][emoji36][emoji36]Hapana
Totale disapointedi...
Shilingi yako lazima iendane na uhalisia. Wewe umekuja kwa siku moja unataka kuona kila aina ya mnyama. Siku hiyo simba wameamua kujificha ndo unataka ujengewe zoo la simba? Hapo hapana
Angalizo: Sikubishii. Ni angalizo. Mabishano ya Tecno na iPhone wala hayanogi wallahi
Sijui ulienda wakati gani, navyojua mnyama ambaye ni rahisi sana kumpata ni simba na wanyama ambao ni wagumu sana kuwapata ni chui na mamba. Hata hivyo kibali cha uwindaji na wanyama utaowawinda pia hutegemea una siku ngapi za kuishi porini. Mara nyingine hutokea mkiwa porini mtakutana na wanyama wote lakini akifika mgeni mtawasaka wanyama msiwaone.Ha hah
Yes kiboko hula nyasi! Ahsante.
Ila kuna vitu kaadhaa haviko sawa kwa mbuga zetu,
Wakati tukiwinda kuna wanyama muhimu sana hatuweza kuwaona, simba na tembo hatukuwaaona na nilisikitika sana.
Hivi hakuna uwezekano wa kutengeneza Zoo hapo serengeti.?
Yani incase tukawinda na tusikutane na wanyama tungependa kuona, basi tupata nafasi kutembea Zoo walau.
Imagine mtu anasafiri kutoka U.S kwa tour ya siku moja labda na hawezi kumuona Simba ama Tembo!
Naelewa mipaka yangu, Chief...ila your days are numbered. Kuna mtu anataka kunipa mkweche wake wa iPhone 6. Huu si utatosha kuwa nakubishia au ni lazima iwe 7 na kuendelea?Ha hah
Yeah ni vizuri kujua mipaka yako, Chief.
Ukinibishia just bisha kistaharabu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijui ulienda wakati gani, navyojua mnyama ambaye ni rahisi sana kumpata ni simba na wanyama ambao ni wagumu sana kuwapata ni chui na mamba. Hata hivyo kibali cha uwindaji na wanyama utaowawinda pia hutegemea una siku ngapi za kuishi porini. Mara nyingine hutokea mkiwa porini mtakutana na wanyama wote lakini akifika mgeni mtawasaka wanyama msiwaone.
Kutengeneza Zoo porini haiwezekani, zoo zina athari za kiafya kwa wanyamapori