Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1540409573419.jpg
 
Kitu cha mwisho ambacho watu wanahitaji wakati wa mahojiano au migogoro ni katika kuingiza Upendo, joto la upendo.

Kuonyesha upendo ni kitu pekee ambacho kinafunika mambo yote wakati wa migogoro mbalimbali.

Kitu ambacho nimekigundua ni katika kukumbatiana, kumkumbatia mwenza wako wakati mnapokuwa katika malumbano ya hoja yenu taratibu inabadilisga hali yote ya machafuko. ukimkumbatia mwenza wako wakati wa malumbano huwa inaleta hali tofauti, haiwezi kuwa kama siku zote ambazo umezoea. imegundulika kuwa inakuwa na hisia za kweli, mtu anaweza kujisikia vizuri zaidi kuliko ile kawaida ya siku zote, inaondoa hali ya kuwa na shaka lolote.
 
Mtu yeyote anapokuwa na stress , kama akikumbatiwa vizuri na mtu ambaye ataweza kutumia muda wa kutosha kufanya hivyo, inamsaidia mhusika wa tatizo kuepuka kupata shinikizo la moyo

Nimegundua watu wengi wanapata tatizo la ugonjwa wa moyo na hata kufa kwa sababu ya kukosa mtu maalum wa kumkumbatia anapokutana na changamoto ya mahusiano, hasa katika malumbano mbali mbali .
 
Ukiona unapata shida kama hio na wakati huo labda mwenza wako amekuwa hajielewi vizuri , jaribu kutafuta mtu mwenye Upendo na Ile Huruma ya Mungu. Yaani Love and compassion.

Love and compassion ni zawadi kutoka kwa Mungu, ni Neema fulani hivi mtu anapewa na Mungu, Ukikutana na mtu kama huyo , hata kama ulikuwa na maumivu ya aina gani , utajikuta unapona saa ile ile kwa ajili ya mguso ambao utapata kutoka kwake.

Ni kama vile umeme unaingia kwa mtu haraka na kuponya kila kitu.
 
Back
Top Bottom