Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa hio kumkumbatia mtu sio tu suala la kimwili, bali ni katika kuponya nafsi ya mtu.kwa sababu magonjwa yote yanaanzia kwenye akili, magomvi yote yanaanzia kwenye akili ya mtu.
Pia kukumbatiana kunaleta ukaribu , uaminifu, na kuleta ufahamu wa kikomavu ambao ni wa kujali mtu, inaleta upendo wa kipekee, kujiamini, urafiki na kuweza kufahamu silika ya mtu ambayo itakusaidia kuwakumbatia watoto wetu, wazazi wetu na marafiki zetu.