*BREAKING NEWS*
Mwanamitindo Maarufu MANGE KIMAMBI hatimaye amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo 24/10/2018 Taalifa zinasema kuwa Mwanamitindo huyo ameingia nchini usiku wa manane kwa kuhofia asije kamatwa. Ingawa hata hivyo haikusaidia chechote kwani Maafisa usalama walikuwa tayari wamekwisha zipata taarifa za ujio wake na wakakaa kumsubili, Kabla hajatia miguu katika Ardhi ya Tanzania alikuwa chini ya Ulinzi lakin Mh. John Pombe Magufuli akatoa tamko kwamba Wamuachie huru ila wamwambie anaombwa na Rais kwaajili ya Mazungumzo Ikulu.
*Mpaka namaliza kuota ndoto hii iliyokuwa ya kusisimua nilimwacha Mange Kimambi Bado hajaenda ikulu*
Hahahahahahaaaa duu ulikuwa makinii
Pole sanaah hata mm ilikuwa ndoto tuuuu, Tulagowe[emoji1787][emoji1787]